BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Leo Denmark wameniangusha aise...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio utaona tofauti na Felix Brych match ya jana alivyofukia tuta ambalo Chiellini aliunawa dk ya 90.I agree with u
Wamechoka sanaLeo Denmark wameniangusha aise...
Hapo ndio utaona tofauti na Felix Brych match ya jana alivyofukia tuta ambalo Chiellini aliunawa dk ya 90.
Denmark wanavyocheza ni kama vile hawataki kushinda!
Fainali Italy vs England.
Bingwa England.
Yaani hata kushambulia wameacha!Tatizo walikuwa wanasubiri matuta
Wanacheza kama vile wanataka kushinda!England wamecheza vizuri...
Poorly refereed game. Nye nye nye magazeti yao kesho
Hahahahahahaahahahahaha kweli bhana. Sasa mi za ya chamdomo kupaki bus
ITV OG ya marehemu ni copy and paste#Bado Denmark tunachomoa hii sina wasiwasi.
Denmark dakika za mwisho wamecheza ujinga sana. Unapo cheza defensive muda wote lazima usababishe kosa tu
Wazee wa Carlsberg wamepigana mno Euro hii. Bai bai guys.
Kama England wakitwaa ndoo sipati picha, namuona Southgate akipewa u-Sir