BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Nimejiandaa chief. Tukutane Jpili na gelato guys ππππππKunywa maji ya kutosha
Subiria kesho uone headlines za magazeti yao. Kujisifia tu. Subirini mabruda wa kitaliano waje kuwanyoa.Sijapenda kutuita chamdomo[emoji23]
Maana ya penati ni adhabu, timu inaadhibiwa, hivyo advantage zote anapewa mpigaji, hio ndio haki. Ndio maana kipa pia akitoka tu kwenye mstari anaadhibiwaHii sheria ya upigaji penati itazamwe upya.
Huwezi mpa mpigaji "double advantage". Ni unyang'anyi kwa timu pinzani.
Akipiga penati asiruhusiwe kuucheza tena mpira ikitokea "rebound" ya namna yeyote ama vinginevyo mpira huo umeguswa na mchezaji wa ndani wa timu pinzani.
Ah wapi!Natamani Denmark wasawazishe
Subiria kesho uone headlines za magazeti yao. Kujisifia tu. Subirini mabruda wa kitaliano waje kuwanyoa.
Too late...Natamani Denmark wasawazishe
Nimejiandaa chief. Tukutane Jpili na gelato guys [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Italy mzeeYaani hata kushambulia wameacha!
Kombe linaenda England.
Three Lions
Itβs coming home, itβs coming home
Tuweke dau? πItaly mzee
Nahamaje sasa. fainali sina upande. Wewe ndo usubirie Italia πππUshahamia Italy?? Denmark hawafai tena[emoji23][emoji23][emoji23]