Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hii sheria ya upigaji penati itazamwe upya.

Huwezi mpa mpigaji "double advantage". Ni unyang'anyi kwa timu pinzani.

Akipiga penati asiruhusiwe kuucheza tena mpira ikitokea "rebound" ya namna yeyote ama vinginevyo mpira huo umeguswa na mchezaji wa ndani wa timu pinzani.
Maana ya penati ni adhabu, timu inaadhibiwa, hivyo advantage zote anapewa mpigaji, hio ndio haki. Ndio maana kipa pia akitoka tu kwenye mstari anaadhibiwa
 
Back
Top Bottom