Tukienda na fact, England hana uwezo wa kumfunga Italy.Jana alfajiri ya leo ARGENTINA Kachukua kombe ndani ya ardhi ya wabrazili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo pia the AZZURRI NAO WANACHUKUA KOMBE NDANI YA ARDHI YA WAINGEREZA
MUDA UTASEMA [emoji3][emoji3][emoji3]
Timu imefungwa goli moja unasemaje imefika fainali kimazabe mazabe?Less than two hours remaining, Hawa England wamefika final kimazabe sana. Sioni kina KANE wakitoboa ukuta wa bonucci na chiellini
Fact ipi??Tukienda na fact, England hana uwezo wa kumfunga Italy.
Linganisha Timu alizokutana nazo England mpaka kufika fàinali, Hata fainali wameingia kwa penati ya kubebwa.Fact ipi??
Unatabiri kwa mazoea mkuu?? Kwaani timu alizokutana nazo ni mbovu eti???Linganisha Timu alizokutana nazo England mpaka kufika fàinali, Hata fainali wameingia kwa penati ya kubebwa.
Italy wana experience na finals, England ndio mara ya kwanza.
Head to Head ya mwisho, walidraw na England alikua kwao.
Germany kidogo ndo ilikua ngumu, na bila yule kikongwe Muller kukosa goli la wazi, tungekua tunaongea mengine leo.Unatabiri kwa mazoea mkuu?? Kwaani timu alizokutana nazo ni mbovu eti???
Leo wanakufa nyumbani kwaoNimeona taarifa jamaa wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Wakilikosa kombe ndio watauana wenyewe kwa wenyewe.
Sisi Azzurri hatuna kelele kama za wale shwaigne wa malkia. Tunakimbiza mwizi kimya kimya.
My pridiction 1-0. Italia wanashinda.
Forza Azzurri
Awapi..! nimeangalia chanel ya 225 imefungwa , imebaki ile ya 224 ambayo tunaangalia wale wa juu ya 19900[emoji23]Afu Hawa DStv wanaanza kujipendekeza ,washaona Euro inaisha eti Leo hadi wanyonge wa 19900 nao tunaangalia nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu mbona mechi nyingi sana wamecheza kwao? Nafikiri ni mechi moja pekee kati ya zote walizocheza, ndio walicheza away.Leo wanakufa nyumbani kwao
MbelekoAfu mbona mechi nyingi sana wamecheza kwao? Nafikiri ni mechi moja pekee kati ya zote walizocheza, ndio walicheza away.
Sent using Jamii Forums mobile app