Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Linganisha Timu alizokutana nazo England mpaka kufika fàinali, Hata fainali wameingia kwa penati ya kubebwa.

Italy wana experience na finals, England ndio mara ya kwanza.

Head to Head ya mwisho, walidraw na England alikua kwao.
Unatabiri kwa mazoea mkuu?? Kwaani timu alizokutana nazo ni mbovu eti???
 
wanaume leo wanapigana kiume.
hivi wachezaji wetu wa timu za simba, yanga, azam n.k huwa hawaangalii mpira unao chezwa kwa maarifa na bidii kisha wakajifunza?
binafsi sio mchezaji lkn huwa najifunza kitu sasa sijui kwa nn wachezaji wetu hawabadiliki kimchezo kwa kuiga mbinu na maarifa yanayo onyeshwa ktk mechi kubwa kama hii itakayo pigwa leo kati ya Egland na Italia.
 
Italia ni timu ambayo iko organized vizuri zadidi kuliko England,
Italia wanawazidi maarifa England, italia wana nguvu na ujanja mwingi. hayao yote yatawafanya Italia washinde.
lkn nawaombea England washinde.
 
IMG_20210711_200004_053.jpg
 
Mbona nasikia sikia usingizi hivi wakati chama langu Italy wapo uwanjani leo. Au ndio dalili ya kufungwa leo. Hawa chamdomo wakichukua kombe si dunia tu bali ulimwengu mzima itawakoma.
 
Leo waingereza waandae machozi ya kutosha kilio ni kingi sana
 
Afu Hawa DStv wanaanza kujipendekeza ,washaona Euro inaisha eti Leo hadi wanyonge wa 19900 nao tunaangalia nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu Hawa DStv wanaanza kujipendekeza ,washaona Euro inaisha eti Leo hadi wanyonge wa 19900 nao tunaangalia nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awapi..! nimeangalia chanel ya 225 imefungwa , imebaki ile ya 224 ambayo tunaangalia wale wa juu ya 19900[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom