Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Unasema?[emoji15]Hii mechi ishaisha, kipindi ya pili wataruka ruka mpaka mechi inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema?[emoji15]Hii mechi ishaisha, kipindi ya pili wataruka ruka mpaka mechi inaisha
kaka, ana 23Chiesa ni noma sana,sema naona kama umri ndo unamtupa mkono.Hivi ana miaka mingapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
England kama YangaEngland ni timu ya janja janja tu ,Italy wanaupiga mwingi
Here we go...Mpaka dakika 90 1 - 1
England wanashambuliwa sana
Labda kusiwe na extra time iwe matuta moja kwa mojaEngland kama Yanga
Kashatoka
Alikuwa anawapeleka motoNaona Chiesa anatoka, England kidogo wanapumua manake jamaa alikuwa anawatoa pumu.