England kwenye penalti ni watupu sana!!England ni timu nzuri sana kwenye matuta usije poteana mkuu.....
Hiyo historia leo inabadilika!.Historia ya England kwenye penalti ni mbaya, labda waibadilishe leo.
Ndo kama hivyo.Wine ya Italy inanimbia Kane atakosa penati.
Nilisema 👆🏼👆🏼👆🏼Belotti kama atakosa