Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #601
Kuna shida sehemu bila shakaHaya majamaa on paper huwa yanakimbiza kweli kikosi chake hata kikicheza na Iceland kinatepeta.
Sijui yanashida gani
HahahaSweden kama namungo
Bureee kabisaaa Moratamorata ni surpong anaeishi spain
Wamezingua sanaSpain wamezinguaView attachment 1818937
Ni sawa pia, wala sijakataa.Basi wewe bdo mkuu kujiita Legend
Atabahatika kwa akina Messi huko, mechi ishaanzaAtakuwa ana hali mbaya
Hapana bhana kwa ile final wachezaji waliomzunguka hawakuwa wanampa support,Hapana, ni kukosa bahati zaidi.