Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Na ndo huwa kina mcost Messi kuto twaa ndoo ya world cup.
Wakati mwingine kutwaa kombe ni bahati zaidi kuliko kuwa na kikosi imara.. Naona messi zali hilo hana.. Argentina miaka yoote messi anazungukwa na wachezaji wazuri mnoo, ambao ukipeleka katika vikosi vingine hawakai benchi.. Si enzi za kina tevez, wala aguero ni kina dimaria, wala hii ya kina dyabala(diblo dibala)

Mwenzake ronaldo alibahatika kubeba euro na uefa nations akiwa kazungukwa na wachezaji wa kawaida.. Wengi wao vikosi vingine wasingeanza..

Netherlands ameshawahi kuwa na golden generations kama mbili hivi anaangukia pua..

Messi kakosa bahati.. Akiwa na national team kacheza fainali kama 3 hv, World cup na kwao 2 zote wamekufa, sitaki kuamini Argentina ile ilikosa wachezaji bora.
 
Namba 8 unacheza?

Mimi 6 moja hatari sana
Daaah wee acha zako bas, mie naupiga mwingi mno, nazungusha no 8 pale kati kiungo mshambuliaji.

Now nipo buzzy na Euro 2020, afu na bett sasa.
Nishapata 6 na 8 yangu.. Siku moja tutafutane tukakumbushie enzi, mie nakula 10 yangu juu pale, au nile 11 nichome ndani kutokea kushoto.. Tuupige mwingim wa kusaza.
 
Wakati mwingine kutwaa kombe ni bahati zaidi kuliko kuwa na kikosi imara.. Naona messi zali hilo hana.. Argentina miaka yoote messi anazungukwa na wachezaji wazuri mnoo, ambao ukipeleka katika vikosi vingine hawakai benchi.. Si enzi za kina tevez, wala aguero ni kina dimaria, wala hii ya kina dyabala(diblo dibala)

Mwenzake ronaldo alibahatika kubeba euro na uefa nations akiwa kazungukwa na wachezaji wa kawaida.. Wengi wao vikosi vingine wasingeanza..

Netherlands ameshawahi kuwa na golden generations kama mbili hivi anaangukia pua..

Messi kakosa bahati.. Akiwa na national team kacheza fainali kama 3 hv, World cup na kwao 2 zote wamekufa, sitaki kuamini Argentina ile ilikosa wachezaji bora.
Ila ile final ya 2014 dhidi ya German, wachezaji waliomzunguka walimuangusha.
 
Wakati mwingine kutwaa kombe ni bahati zaidi kuliko kuwa na kikosi imara.. Naona messi zali hilo hana.. Argentina miaka yoote messi anazungukwa na wachezaji wazuri mnoo, ambao ukipeleka katika vikosi vingine hawakai benchi.. Si enzi za kina tevez, wala aguero ni kina dimaria, wala hii ya kina dyabala(diblo dibala)

Mwenzake ronaldo alibahatika kubeba euro na uefa nations akiwa kazungukwa na wachezaji wa kawaida.. Wengi wao vikosi vingine wasingeanza..

Netherlands ameshawahi kuwa na golden generations kama mbili hivi anaangukia pua..

Messi kakosa bahati.. Akiwa na national team kacheza fainali kama 3 hv, World cup na kwao 2 zote wamekufa, sitaki kuamini Argentina ile ilikosa wachezaji bora.
Well said mkuu, soka kuna muda inahitajika bahati
 
Back
Top Bottom