Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #741
Germany XI to face France
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la kitasa..psg muda mwingine anachezaga Centre back..nimemkubali sana leo yule mwamba.How u rate Danilo Pereira? Jamaa kakichafua sana pale kati. Ana pumzi, nguvu, anapiga tackle. Ukimwona kama hawezi ila jamaa ni shoka aisee.
Ben Yedda, uwepo wa Benzema unamnyima nafasi huyu jamaa. Jamaa ni goalgetter mzuri sana.
Kuna mechi zinahitaji wazowefu. Yule wa portugal aliwaanzisha kina jota umeona yaliyotokea.. sina maana kwamba bin yedda si mzoefu lakini ukimlinganisha na benzema kwa uzoefu anakaa kitakoBen Yedda, uwepo wa Benzema unamnyima nafasi huyu jamaa. Jamaa ni goalgetter mzuri sana.
Utaki Sasa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajamaa haka kaongo kaongo sana...tupia screenshot
Kigezo cha kuingia uwanjani ilikuwa ni kuonesha udhibitisho wa chanjo au uko negative..A reminder of what a full stadium looks like. [emoji909]
The 67,215-capacity Puskás Arena is sold out.
Hungary na Tanzania ni watoto wa baba mmoja. Covid tunishi nayo yaaniView attachment 1819732View attachment 1819733View attachment 1819735
Huu mkeka ushachanika[emoji1][emoji1][emoji1]Mkeka wangu..
✓Portugal win and Bruno Fernandes to score.
✓France win and Kylian Mbappe' to score.
Hahahahaha dah jamaa hawaelewi kabisa Yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]A reminder of what a full stadium looks like. [emoji909]
The 67,215-capacity Puskás Arena is sold out.
Hungary na Tanzania ni watoto wa baba mmoja. Covid tunishi nayo yaaniView attachment 1819732View attachment 1819733View attachment 1819735
Bila shaka amebakiza goli 4 kumpita muiran na kuwa all time top scorer (international level)
2016 Portugal walicheza mpira mbovu haijapata kutokea nadhani walishinda mechi 1 tu ndani ya dk 90 tangu group stage, siku ya mwisho wakanyanyua kwapaUkicheza na ambae hajui unaonekana na wewe hujui.Portugal vs Hungary sijui ulikuwa ni mpira gani ule
Na atazifikisha tuuBila shaka amebakiza goli 4 kumpita muiran na kuwa all time top scorer (international level)
Tena ndani ya euro hii hii sasa hivi ana hasira hatari sana, mechi iliyopita alitupia 2 kama sikoseiNa atazifikisha tuu
Hatari sana daaah.Huu ndio mpira