Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hapana sijawahi kulala bila kuoga mie, kwanza sikumbuki ikiwa nmeanza ufahamu.Mwambie tu kisa ulikuwa ukicheza hupendi kuoga[emoji16]
Vp kashavunja ile record ya Hossam Hasaan wa misri?Bila shaka amebakiza goli 4 kumpita muiran na kuwa all time top scorer (international level)
Halafu limebeba team zenye makali sasa. DaaahCopo America ni utopolo
France walinde hili goli na kutoruhusu wafungweHT France 1-0 German. Own goal, from Matt Hummel. German bado wanayo nafasi ya kusawazisha sbabu Wanacheza vizuri.
[emoji632] vs [emoji629] hii ndo ilitakiwa kuwa final sasa.Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu.
Kundi la Kifo linaanza mechi zake.
Ureno Vs Hungary saa1:00 usiku
kisha mtanange wa kukata na shoka
Ufaransa Vs Ujerumani saa 4:00 Usiku
Kitambo sana sasa hivi christiano ana 106 yule muiran Ali daei ana 109Vp kashavunja ile record ya Hossam Hasaan wa misri?
Umeangalia kweli ile mechi? Au umeangalia live scoreUkicheza na ambae hajui unaonekana na wewe hujui.Portugal vs Hungary sijui ulikuwa ni mpira gani ule
Na mshindi wa michuano hii, atatoka hapo m1 wapo
[emoji632] vs [emoji629] hii ndo ilitakiwa kuwa final sasa.
Na mshindi wa michuano hii, atatoka hapo m1 wapo.
Itakuwa kacheki livescoreUmeangalia kweli ile mechi? Au umeangalia live score
Yaan kaniumiza mno daaah, anapaishaje vile sasa daah.53' Almanusura Ujerumani wasawazishe ila Gnabry anapaisha