Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Group F ni balaa bin baradhuri.

Vv
 
Very complicated tournament, ngumu sana kutabiri bingwa atakuwa nani timu nyingi kubwa hazitofauti sana uwezo.

  • Germany
  • France
  • Italy
  • Spain
  • England
  • Portugal
  • Belgium
 
Alifika nusu fainali mwaka 1996 katika michuano iliyofanyika pale pale kwao tena wakitolewa nusu fainali na Wajerumani huku Gareth Southgate kocha wa sasa akipaisha mkwaju wa penati

Hizo ndio rekodi na mafanikio yao. Jamaa wanabebwa na media tu lakini uwezo hamna kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ