Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Ngolo Kante sikumuona kabisa uwanjani jana, kijana wana mu overrate sana, amecheza na mafundi alikua akionekanwa kama kipanya tu.

Halafu eti wanamwita ni best midfield in the world. my foot
 
2000 - Gareth Bale is the first player to miss the goal frame entirely with a penalty at the EUROs since Raúl for Spain against France at the 2000 tournament (excluding shootouts).
 
Mechi ya leo ya Italy inaweza kuwa kipimo kwa waitaliano kuona kama watastahili kufika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…