Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Asante Roberto Manchini...

Italy imani yangu kwenu mmeitendea haki.

Nawatakia heri ktk hatua ya mtoano.

Najua huku sio ubora tu,pia bahati inahusika.

Ila wakati huu bahati ipo upande wenu...ukiongeza na ubora wenu..

Seeing u lfting the trophy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1628][emoji1628][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
 
usiishie kupongeza tu ila angalia aina ya wapinzani alikutana nao katika group lake..all in all,
round inayofuata inakuja kuchuja
 
usiishie kupongeza tu ila angalia aina ya wapinzani alikutana nao katika group lake..all in all,
round inayofuata inakuja kuchuja
Italy atakutana na Ukraine au Austria katika 16 bora, hapo matumaini ya kusonga mbele ni makubwa
 
usiishie kupongeza tu ila angalia aina ya wapinzani alikutana nao katika group lake..all in all,
round inayofuata inakuja kuchuja
Ni kweli unachosema lakini tuzidharau hivi inchi zisizo na majina makubwa katika ramani ya mpira wa mguu embu angalia Spain wanavyopata tabu huko, ufaransa nao kang'ang'aniwa na Hungary. England nao shughuli bado nzito. Ngoja tuone hatua zinazofuata itakuaje
 
Finely poised...

Who goes through from Group B & C?

[emoji1154] N. Macedonia [emoji739] Netherlands [emoji1179]
[emoji1255] Ukraine [emoji739] Austria [emoji1038]

[emoji1103] Finland [emoji739] Belgium [emoji1045]
[emoji635] Russia [emoji739] Denmark [emoji1087]

#EURO2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…