Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mpaka sasa 'Uswis" amefuzu hatua inayofata kama best loser.

Maana niyeye tu 'Uswis' kati ya timu zilizoshika nafasi ya tatu(3) yenye point NNE(4), kati ya makundi matatu yaliyokwisha mpaka sasa.
 
HT

#SUI 2-0 #TUR
#ITA 1-0 #WAL


Matokeo yakibaki hivi hivi Uswizi na Wales wanafuzu
Hadi sasa Uswizi ndio best loser anayeoongoza. Endapo akitawazwa kuwa best loser anaweza kuja kukutana na Belgium hatua ya 16 bora
 
A final night full of drama in Group B [emoji897]

Belgium make it three wins from three [emoji108]

Denmark hit four past Russia to qualify in second [emoji122]
IMG_20210622_000548_718.jpg
 
Denmark alikuwa na point zero iwaje amefuzu mkuu?
Kundi lake Belgium ndio ana point 9, wengine wote point 3. Sasa kati ya hao wenye point 3 mwenye magoli mengi ya kufunga ni Denmark.

Kwa hiyo sheria ya magoli ya kufunga imembeba Denmark
 
Mkuu lile kundi F France amefuzu wakati mechi bado hazijaisha?
Calculation zimeprove kuwa kafuzu, ila mechi iliyobaki ndio itaamua nafasi atakayoanguaki(ama mshindi wa kundi, mshindi wa pili au best loser). Kwa hiyo lazima aangukie kwenye hizo nafasi
 
Back
Top Bottom