Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Salvatore Sirigu aliingizwa mnamo dk ya 89 wakati wa mechi yao dhidi ya Wales.
Mwaka 1990, Roberto Mancini(Kocha wa Italia wa sasa) alikuwa miongoni mwa wachezaji waliochaguliwa kucheza WC, Lakini yeye(Roberto Mancini) hakucheza hata sekunde moja (yaani hakupewa nafasi hata kidogo na kocha wao).
Ile hali ilimfadhaisha sana, sasa Roberto kama kocha hataki ile hali itokee kwa wachezaji wake, amejitahidi kubadili wachezaji ili kila mmoja acheze hata kwa sekunde moja.
Hadi sasa kashatumia wachezaji 25 kati ya 26 walioruhusiwa kuunda kikosi kinachoshiriki Euro. [emoji122]