Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Czech alishawahi kumuadhibu Holland kwenye haya mashindano, euro 2004 kama sikosei.

Ile Czech ilikuwa ya maana zaidi, sio kama hii. Walikuwa na watu kama Nedved, Poborsky, Koller, Baros, Smicer.

Dah zamani kulikuwa na timu nyingi za maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…