Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Lakini hata Holland walibeba Euro 88 kwa kikosi kikali cha akina Gullit, Van Basten na Rijkaard ambao kwa pamoja walikuwa wanacheza Ac Milan na timu ya taifa ya Uholanzi
Wanasema hata historia ya nchi inawanyima kufanya maajabu, Netherlands maana yake nchi ya bonde, toka lini maendeleo yakafanyika bondeni na ukumbuke jamaa ndio waanzilishi wa totoo futbal, chini ya Mwamba wao Johan cryfu na wamepita kizazi cha dhahabu sana

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Belgium 1st goal. Thorgan hazard
1624823369765.gif
 
Wanasema hata historia ya nchi inawanyima kufanya maajabu, Netherlands maana yake nchi ya bonde, toka lini maendeleo yakafanyika bondeni na ukumbuke jamaa ndio waanzilishi wa totoo futbal, chini ya Mwamba wao Johan cryfu na wamepita kizazi cha dhahabu sana

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Wamefungwa fainali mbili wa za World Cup tena zote wakifungwa na waandaaji.

Mwaka 1974 fainali zilizofanyika pale Ujerumani Magharibi, Holland ya akina Cruyff na Neskes walichagiza sana mashindano, ila walifungwa 2-1 fainali na mwenyeji, Licha ya kuongoza kwa goli ambalo Uholanzi walilifunga toka mpira uanze mpaka goli hakuna mchezaji wa Ujeeumani aliyegusa mpira ule.

Pia walifingwa fainali za 1978 na mwenyeji Argentina ya Mario Kempes. Sema jambo la kushangaza, Staa wa timu Cruyff aligoma kwenda kucheza fainali zile.
 
Sijawai kuona mchezaji anaelalamika kuliko Lukaku . Jamaa mda wote analalamika tu ..asipopewa pasi analalamika.. akipewa akishindwa kucontrol analalamika kazi kunyoosha mikono tu
 
Back
Top Bottom