Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo


Kiuhalisia iniesta ndio alikuwa namba 10,ila kutokana na messi ni mtu wa mipango mingi katika attacking, hii ikawa inawarahisishia mnoo barca.. Kama ulivyosema hapo juu.
Ni kama unapocheza double pivot mmoja ni dm halisi mwingine ni box to box.. Kwenye kukaba unakuwa una dm mbili..

Toka awali nilisema shida ya ureno itakuwa kwa kocha, kocha kakosa mfumo maalum wa kunufaika na utajiri wa wachezaji wake.
 
Sio ww tuu mkuu hata mm ..Ila lazima tukubali ukwel .. Portugal bado hawana timu ya kuwafikisha mbali ...
Spain na Portugal ni timu ambazo zinafanana kwa kila kitu.

Ni timu ambazo pamoja na ukubwa wake hazijawahi kufuta ile underdog mentality toka zimeanza kushiriki mashindano makubwa.

Ni timu ambazo hata ziwe na kikosi kuzuri kiasi gani ushindi wake ni wa kubahatisha bahatisha sana.

Golden generations zao huwa hazidumu beyond on tournaments zinapotea.

Huwa zina wachezaji wazuri sana individually ila huwa zina mapungufu makubwa sana ya kimbinu as a timu, Kwanza ni timu zinazocheza taratibu sana kuliko timu zote za Europe pili ni timu zenye mentality ya small teams.

Japokuwa ureno huwa anafanya vizuri mara kwa mara kwenye mashindano ya Euro kuliko Spain ila ni timu zisizoaminika kwa wafuatiliaji wa mpira.

Zinashinda usipotarajia na zinapoteza usipotarajia pia.

A true character of mediocre teams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…