Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia mkuu..uta update hadi lini?[emoji3][emoji3]My mkeka, updatedView attachment 1833798
Huyo ndo aliikosesha kombe la Dunia kwa ubinafsi wake usinitajie kabisa huyo mpuuzi. Mimi ni chungwa tangu 1988 namlaani huyo jamaa mpaka nakufa.Holland Bila ya Robben ni hopeless tu
Hahahaa, naenda na mdundo wa ngoma mkuuTulia mkuu..uta update hadi lini?[emoji3][emoji3]
Belgium kazi kazi,, hawa Wala pizza mwisho wao umefika.
Hii Portugal ilikuwa overrated Sana.Portugal ni Utopolo nilisema mapema wengine mkawa wabishi
Hawaingii uwanjani mpaka waoneshe wamepima covid masaa 24 yaliyopitaHii EURO2020 saivi inajaza mashabiki na hawavai barakowa je, ulaya korona imekwisha??
Hahahaaa, nimeanza kubana pu.mbu hapa tenaMkeka ushachafuliwa 2× [emoji23][emoji23]
Hiyo ndio raha ya football mkuu
80% ya raia wana chanjoHii EURO2020 saivi inajaza mashabiki na hawavai barakowa je, ulaya korona imekwisha??
Hivi pale kajifunga kipa au aliyemrudishia mpira??[emoji16]...ngoja nicheki score board kaandikwa naniGolikipa Unai Simon wa Spain anajifunga na kuipa uongozi Croatia