Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww nawe bana,hata kama hujui mpira ila vikosi unaviona
Sio ww tuu mkuu hata mm ..Ila lazima tukubali ukwel .. Portugal bado hawana timu ya kuwafikisha mbali ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni kwamba kila siku mna badili timu[emoji23]
Walikuwa bora kuliko UbeligijiSio ww tuu mkuu hata mm ..Ila lazima tukubali ukwel .. Portugal bado hawana timu ya kuwafikisha mbali ...
Hata Lipuli ina mashabiki na WapenziWw nawe bana,hata kama hujui mpira ila vikosi unaviona
Si kweli Mkuu, Bruno alicheza muda mwingi bila Pogba mwanzo wa msimu, na akavunja record za player of the month mfululizo toka ligi ianzishwe.Con artist kiukweli..
Bila kina Pogba kumbeba hachezagi cha maana
Data za who scored hizi wametoaBelgium shot on target moja Tu ya Hilo goli..
Hatari sana huyu Dias
Ukiwa kibanda umiza bc huyo jamaa anatajwa weeeeeeeeee kwamba tuna zao letu huko 😂😂😂 Ila kwel jamaa yuko vizuriMkuu Denmark wanaupiga mwingi Sana. Hujamuona Poulsen Yusuph..
Namaanisha Denmark dhidi ya Wales walikuwa favorites.Hapana Denmark alikuwa ni underdog pia mkuu, angalia hata kwenye makundi walivyofuzu
dah umenifanya niangalie mara ya pili screenshot yangu 😀 mambo yenu hayo, mimi hawanipati.Eeh 🙄 mkuu kumbe jackpot Sportpesa inaenda kufika nusu billioni asee wahuni hapo ndo wanapoanza kuimendea🤣
Uholanzi ni moja ya timu isiyo na bahati kabisa katika soka, sidhani Kama washatwaa hata hii euro..