Hapana lukaku Ali mbully sana Diaz, hata Goli lilipatikana badala ya Diaz kushindwa Physical battle na lukaku.
Kwa Portugal man of the match wao ni Ronaldo nafasi za wazi ninazokumbuka haraka haraka 3 ametengeneza mbili kwa jota na moja kwa silva.
Ukitoa Ronaldo Renato sanchez kwa karibu anamfuatia, kaupiga mwingi sana, na yule beki wa pembeni wa Portugal Guerrero aliegongesha mwamba, jamaa anakaba na kushambulia vizuri.
Diaz was OK na pepe, ila Dalot kaniangusha sana, hasa kushindwa kuwa karibu na Hazard kwenye Goli.