Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mkeka unazidi kuliwa na panya tu mkuu. Portugal nao waneondoka na kipande chao cha mkeka
Daaahh, wamejikatia kipande chao mapema kikiwa bado kimenona.

Pongezi kwa Belgium kwa kufuzu, sasa patachimbika mbele ya Italy
 
Czech peke yake ndio aloyeshinda kama underdog. Denmark, Italy na Belgium wote walikuwa favorites kufika robo.
 
Reuben Dias ...huyu beki si mchezo
Kwangu ndo alikuwa star wa mchezo..
Belgium aliwafunika wale kina lukaku wote..

Yaani kukosa lile bao la mbali Belgium ilikuwa hawapati kitu ..
Beki kisiki kweli ..
Jamaa anaupiga mwingi sana, ile tuzo kweli alistahili kupata
 
Bruno Fernandez eti kuna watu walikuwa wanasema no Balon d or material..
Duh aibu sana
Mbona Bruno amecheza vizuri sana Leo? Apart na mashuti yake ya kulenga mnazi ametengeneza chance za kutosha, dribble na pasi zenye macho. Na vyote hivyo akiwa out of position.

Huyu kocha tu ana small team mentality, kumchezesha Bruno/silva/Felix kama mawinga na wote ni top playmakers kunatia mashaka.
 
Nilitegemea useme chochote kuhusu Dias..
Kama unakubaliana na mimi ndo man of the match ...
 
Hapana lukaku Ali mbully sana Diaz, hata Goli lilipatikana badala ya Diaz kushindwa Physical battle na lukaku.

Kwa Portugal man of the match wao ni Ronaldo nafasi za wazi ninazokumbuka haraka haraka 3 ametengeneza mbili kwa jota na moja kwa silva.

Ukitoa Ronaldo Renato sanchez kwa karibu anamfuatia, kaupiga mwingi sana, na yule beki wa pembeni wa Portugal Guerrero aliegongesha mwamba, jamaa anakaba na kushambulia vizuri.

Diaz was OK na pepe, ila Dalot kaniangusha sana, hasa kushindwa kuwa karibu na Hazard kwenye Goli.
 
Duh
Utasema tumetazama mechi mbili tofauti
 
Back
Top Bottom