cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaona nawaona.Wazeee wa mikeke wanapumulia machine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaona nawaona.Wazeee wa mikeke wanapumulia machine.
Mie sina upande, kesho ndo zamu yangu kuhaha [emoji23][emoji23][emoji23]We
We upande upi Leo?[emoji23]
Timu ipi hiyo?Mie sina upande, kesho ndo zamu yangu kuhaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Walijifunga lile goli mkuu hawakufunga franceHawa mabitozi kina mbappe hata sijui waliwafungaje wajerumani
[emoji629]Timu ipi hiyo?
Hahahaha! hapo kweli kazi unayo lolote laweza tokea.[emoji629]
Yaan kesho tumbo litakua linawaka moto vibaya.Hahahaha! hapo kweli kazi unayo lolote laweza tokea.
Relax tuu... mapema kesho saa tatu kinakuwa kimeumana.Yaan kesho tumbo litakua linawaka moto vibaya.