Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
TayariPambana Uswiz tupeleke 120
Mikeka itakuwa taabaniPumbavu sana hawa wafaransa, wanashindwaje kumaliza mechi
Coman anacheza nini humu??
Kaniudhi mno huyu jamaaComan anacheza nini humu??
Ana pupa sana, utulivu mdogo sanaKaniudhi mno huyu jamaa
Angempa Benzema angeshamaliza..
Makocha Wana haraka sana kuwatoa wachezaji wa kweli