Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Mimi nawapa nafasi Uingereza. Nahisi watashinda hili kombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio wanaingia dimbani kucheza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Croatia, ngoja tuwaone kama watafanya jamboMimi nawapa nafasi Uingereza. Nahisi watashinda hili kombe.
Turkey ni timu koko sana....FORTALEZA
Turkey
France
Spain
Belgium
Italy
Germany
Mmoja wao kombe linamhusu, i wish Turkey, Belgium or Spain wabebe
🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
Cha mdomoHaya Taifa Stars ya Ulaya leo ndio inashuka dimbani saa 10:00 alasiri kwa saa za afrika mashariki
View attachment 1816929
Everton je..?Chelsea ni mda mwingine ni wapuuzi sana
Turkey ni utopolo kabisaFORTALEZA
Turkey
France
Spain
Belgium
Italy
Germany
Mmoja wao kombe linamhusu, i wish Turkey, Belgium or Spain wabebe
🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
Sio wa kuwawekea dhamanTurkey ni utopolo kabisa
Kelele tupu yaaaniCha mdomo
Hahaha
Na German wapo wameangalia tuMimi nawapa nafasi Uingereza. Nahisi watashinda hili kombe.
Au kwa maneno mengine niUrusi kupigwa goli tatu bila na timu ya kwao na Lisu Ubelgiji.
Wakati jana Italy alimpiga tatu bila Uturuki.
Wanawageza Simba kuwapiga wenzao tatu tatu.
Watoto wa malkiaHaya Taifa Stars ya Ulaya leo ndio inashuka dimbani saa 10:00 alasiri kwa saa za afrika mashariki
View attachment 1816929