Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sterling ameanza mbele ya Sancho na Grealish?
Ni kwa namna ipi nnaweza kustream kwa kupitia sim yangu? Maana apk ya mwanzo ya mobdro nliyokuwa naitegemea imefel haifanyi kazi... Kama una access nyingine plz nipatieSalama wakuu,
Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020.
Pia kutokana na Corona, timu zitaruhusiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.
Vilevile, michuano hii itaandaliwa katika nchi 11 tofauti na michuano ya kawaida ambapo nchi mwenyeji huwa ni mmoja tu. Wamefanya hivyo katika kuadhimisha miaka 60 ya michuano hiyo mikubwa barani ulaya kwa ngazi za timu za taifa.
Updates:
Michuano inaanza leo Juni 11 ambapo Turkey Vs Italy watafungua dimba saa 4:00 Usiku.
Michuano itaonyeshwa kupitia Dstv Chaneli 224 (Mechi zote), Star Times na Azam Tv kupitia ZBC2 (Baadhi ya Mechi).
Wale wadau wa kustream mtandaoni, Hesgoal.com ndio sehemu ya uhakika ya kucheki mechi.
MATOKEO- Hatua ya Makundi
Turkey 0-3 Italy
Wales 1-1 Switzerland
Denmark 0-1 Finland
Belgium 3-0 Russia
England Vs Croation
Austria Vs North Macedonia
Netherlands Vs Ukraine
Scotland Vs Czech Republic
Poland Vs Slovakia
Spain Vs Sweden
Hungary Vs Portugal
France Vs Germany
Naunga mkono hpjaHuyu Southgate hamna kitu, Sterling na Mount wanaanzaje mbele ya Grealish??
Hakuna mchezaji wa kiingereza mwenye ufundi kama Grealish
Soma comment namba 1 vizuri utapata jibuMkuuNi kwa namna ipi nnaweza kustream kwa kupitia sim yangu? Maana apk ya mwanzo ya mobdro nliyokuwa naitegemea imefel haifanyi kazi... Kama una access nyingine plz nipatie
Mkuu nmekupata ngoja nipakueSoma comment namba 1 vizuri utapata jibu
Sio lazma uipakue unaweza ukaitembelea tuu kupitia google ukastream vizuriMkuu nmekupata ngoja nipakue