cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah
Jana nilkua na buzzy na mambo fulan, hata game sikuichek nimekuja kupata matokeo tyuuh baadae.Jana ulipotea hukuonekana
SawaJana nilkua na buzzy na mambo fulan, hata game sikuichek nimekuja kupata matokeo tyuuh baadae.
Matoto ya Hitler haya huwa ni magaidi yakiamua.Sema watu wamewachukulia poa sana Germany ila jamaa huwa hawaimbwi sana lakini wanajua jinsi ya kufanya kazi iende!
Wana usemi wao "Never underestimate the Germans"
Wameshabugi..italy hawataki kuruhusu goli.Leo Wales wanaomba huruma ya waitaliano ili wafuzu.
Portugal na Hungary wanaondoka.How will Group F finish up?
[emoji2389] __________
[emoji2390] __________
[emoji2391] __________
[emoji2392] __________
#EURO2020 View attachment 1823932
Mjerumani na mfaransa wanabakiHow will Group F finish up?
[emoji2389] __________
[emoji2390] __________
[emoji2391] __________
[emoji2392] __________
#EURO2020 View attachment 1823932