Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

rangi za upinde wa mvua (Rainbow colour [emoji304]) kwenye Euro 2020 nani amegundua kitu hapa?
  • Makepteni wote vitambaa vyao ni rangi hiyo.
  • Mabango(LCD) background kuna rangi hizo.
Wazungu wakiamua dah! Yan kumbe wanatetea haki za kishoga bhana!!
Nimeliona hilo kitambo sana
 
rangi za upinde wa mvua (Rainbow colour [emoji304]) kwenye Euro 2020 nani amegundua kitu hapa?
  • Makepteni wote vitambaa vyao ni rangi hiyo.
  • Mabango(LCD) background kuna rangi hizo.
Wazungu wakiamua dah! Yan kumbe wanatetea haki za kishoga bhana!!
Wanapromote Ushoga Hawa Mbwa
 
Hivi huyu mtangazaji wa mechi ya Germany vs England wa Azam mbona hajui Kazi?

Aliyetangaz mechi ya France vs Switzerland anaimudu Kazi,anawajua wachezaji,timu wanazochezea,historia za maisha yao na nchi zao na flow yake ni tamu na haichoshi.

Huyu wa Leo anaunga unga kama wabunge wa voti maalum wa ccm,Azam tafadhari tunalipia bei kubwa ya vifurushi mnatuletea wababaishaji,jirekebisheni mnatukwaza.
 
England 1st goal. sterling
1624988266132.gif
 
Back
Top Bottom