Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Imekumbwa kitambo sana tangu kizazi cha akina Thierry Henry, Ruud Van Nistelrooy, Etoo, Drogba, Inzaghi and the like kiondoke wamebaki wakuokota tu kama Lewandoski basi.
Sio kwel
Kuna
Suarez
Lewandosky
Ageuro
Diego Costa
Lukaku
Cavani
Benzema

Japo nao wanaelekea ukingoni
 
Umenikumbusha mbali sana.
Au De Jong wa Man City..
Na kuna huyu dogo wa Spurs Erick Lamela wanapiga sana viatu.
Julai 2010, Ndani ya Soccer City, jijini Johannesburg, Fainali ya Kombe La Dunia kati ya Uholanzi dhidi ya Spain, De Jong anamrukia kifuani Xabi Alonso katika style ya Bruce Lee, mwamuzi Howard Webb akaishia kutoa yellow card!
 
Back
Top Bottom