Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Nakubaliana na ww mkuu. Thou matamanio yangu n kuona England wakimwaga machozi hapo hapo nyumbani kwao [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ni roho mbaya tuu kwa waingereza
Uefa Euro 1996 ilifanyika England. Uingereza alitolewa na Ujerumani kwenye Nusu Fainali katika Dimba la Wembley.

Safari hii, wanacheza na Denmark katika hatua ile ile ya Nusu Fainali Katika Dimba lilelile la Wembley, Je, Historia itajirudia?????
 
Hii ngoma Uingereza hatoboi. Denmark kila mchezaji amekamilika na yyte anweza funga goal. Mchezo wao ni kama Germany ya 2014 sekunde 5 tu washafika golini mwako.

Final Italy vs Denmark. Mipira yao inafanana. Counter attack za nguvu. Ila Italy viungo wao wako imara zaidi. So bahati inaweza enda kwa Italy. Wakienda penalty shoot out bahati ni kwa yyte.
 
Jorginho anawatakia siku njema😂😂😂

E1CD79FD-C647-471F-9372-BF19A2138D4A.jpeg
 
Jorginho anawatakia siku njema[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1844293
Penalty taking professional.

Nimerudia kuangalia clip yake mara nyingi sana, itoshe tu kusema jamaa amepiga penati kiufundi na kiulaini kabisa.

Ameanza kwa kumteka golikipa kiakili alipoanza kumove kwa nguvu huku akionesha upande atakaoelekeza penati. Kipa aliugundua huo upande(ambao ulikuwa fake) akaamua aruke mapema kabla mpira haujapigwa.

Baada ya kuruka, Joginho akasema kazi imeisha akaamua kupiga upande mwingine tena bila kutumia nguvu tena aliyoionesha wakati anaanza kumove kwenda kupiga penati.
 
Daah, Argentina wamejambishwa hadi matuta.

Hongera kwao kwa kufuzu
Haikua Rahis mkuu..Argentina Team ni ya mtu m1 na atleast Goalkeeper mzr sana..Martinez namkubal mno na uwa nashkr aliondoka Arsenal kwenda Aston Villa kupata namba ni goalkeeper anafnya sana crucial saves...Brazil X Argentina asee game ngumu..lkn Naomba tu The Gods Of Football wafanye tu Miujiza Messi ashinde tu International trophy kwa sababu ana deserve ameangaika sana na iyo team na amekua criticized heavily lkn jamaa amekua ni mtu anapambania sana team yake ya taifa...kiukwl am rooting for Argentina pa1 wanateam ya kawaida compared to Brazil bt kama wanahitaj kombe wanatakiwa kuperform hard as twice as Brazil.
 
Ngoja tusubiri huenda bahati ikaangukia kwao ili tuvunje rekodi ya Messi kuwa mchezaji bora asiyewahi kushinda International/Major trophy
 
Back
Top Bottom