KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Jmn si afungwe mtu tukalale
Dk120 nakua hoves mbayaa
Dk120 nakua hoves mbayaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani haina mwenyeweEuro 2020 ni moto
Muso muso, miss you kijanaCome on you England
Waliichukulia poa sana Denmark.. Ona tabu wanayoipataHizi hatua huwaga ngumu sana.
Kona hiyoJmn si afungwe mtu tukalale
Dk120 nakua hoves mbayaa
Muso muso, miss you kijana
England Wana kiwewe Sana na Wana mihemko wakiwa kwenye box ndio maana hawafungi goli , mwisho wa siku watafungwa
Ngoja tusubirie,mnaruka ruka hovyo hadi goli mumiesaidiwa afu unasema wataalamu?Sikiliza wewe sisi ndio wataalam
ITV SPORT HD.Channel gn hyo?
Mara chache mkuuUnafikaga mtaa huu?
Mara chache mkuu
ITV SPORT HD.
Shida ya England hakuna fowadi wazoefu pindi mbinu za kawaida zikishindwa ndio maana unaona hawana jipya licha ya kufika kwenye box mara nyingi zaidi.
DK mkuuMiss u too, team gani wewe?