Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Afu kocha wa England kakariri,Bukayo alimtoa akaweka Grealish wakati ukiangalia sikuona sababu na hadi sasa hakuna tija kaleta tena bora yule dogo alikuwa vzur kuliko Grealish anachofanya toka kaingia
 
Chamdomo wakipata goal denmark hawawezi kuchomoa. Bora waendekee kujilinda tu. Chamdomo nao wamechoka pia
 
Back
Top Bottom