***Euro2008***

eEEH!! Portugal vipi? wanakandamizwa la pili...dakika 26 Klose
 
leo cha moto Portugal watakiona na hawa Germans,
told you, Germans are more experienced hapa,
2-0 already!
 
Wapi Decco,Mouthinho,Ronaldo,simao hawaonekani hawa...wanashughulikia mwendo tu kiwanjani....na huyu Bosigwa hapandi leo....Scolari anataka kufanya sub....
 
Wajerumani wameamua leo, lakini bado nawaamini Ureno watarudisha na kushinda huenda kwa penalti shooting.
 
Wajerumani ni potential champions wa Euro 2008, i still stand for them if netherlands makes a single mistake.
 
Hii ni very technical game, lets enjoy it!
 
Lol hizi kosa kosa langoni mwa jerumani wamefukia nini langoni mwao.......?
 
Lol hizi kosa kosa langoni mwa jerumani wamefukia nini langoni mwao.......?

chochote kile ila magoli lazima yaingie na Ureno wanapita tu, ujerumani watachemsha kipindi cha pili. Tatizo Ureno wanashindwa kuwabana viungo wa kati na mawinga. Lazima watambue kwamba Ujerumani wameamua kucheza viungo ndo maana Ballack wamemuweka kiungo wa kati.
 

Na Portugal ndio watafanya jitihada sana kuwachosha mabeki wa pembeni wa Germany kwa kuwatumia Ronaldo na Gomez.

Deco ana kazi ya kuhakikisha ana-supply mipira kwa mawinga hawa wawili at all times.
 
kati Ureno kulivuja ndio maana katolewa Moutnho pale...ila kazi ipo Podo na shwaz wanakimbia sana unaona hata Bosingwa hapandi sana....ungwe ya pili ndio hiyooo
 
Huyu Fereirra mtambo kweli kamuachia balack akatumbukiza cha 3.....
 
Ricardo siyo kipa mzuri, anayazika matumani ya Ureno. 3 - 1, dk 63 kazi ipo!!
 
Hapo sasa naona Portugal wanachemsha.

Mabeki wamelala na kipa anatoka sana.
 
Hivi hizi Kilomita wanazotauandikia ati wachezaji wamekimbia uwanjani wanazipimaje?
 
Hakuna mvuto tena Euro 08.....wajerumani huwa hawafagiliwi soka lao ila leo wamejitahidi ureno wamekumbuka shuka kumekucha
 
...next....? Portugal ndio weshafungasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…