***Euro2008***

***Euro2008***

Timu zitakazo ingia semi final
HOLLAND
AZZURI
GERMANY
CROATIA
 
Najua dada zetu wa kibongo na mpira ni sawa na kibaka na polisi, kama u mdada kweli ntashangaa!
usishangae napenda sana mpira toka nilipoanza kujijua mimi ni nani?since primary school!timu yangu ya nyumbani ni Yanga,nakumbuka timu zikiwa zinacheza enzi zile nipo primary nilikua nachukua karatasi na kalamu naandika list ya wachezaji kwa timu mbili zinazocheza!
Football wewe acha tu!
 
Timu zitakazo ingia semi final
HOLLAND
AZZURI
GERMANY
CROATIA
PORTUGAL unawatoa jamani?squadra azzurra hawafai kabisa!bora spain waende!ila Spain wanacheza vizuri kuliko Azzuri sasa sijui Squadra watapitaje hapo?
I think portugal and holland for final
 
kwani jamani mnasahau FRANCE ndo huwa anza yao!safari bado wataamka tu

...Hollo inaonekana FRANCE si kwamba walikuwa wamelala, walikuwa kwenye COMATOSE!, mpaka Italy ilipokuja ku switch off 'life support' ndio ukweli umejulikana!

Inasikitisha lakini ndio unafuu kwa 'mgonjwa'!
 
PORTUGAL unawatoa jamani?squadra azzurra hawafai kabisa!bora spain waende!ila Spain wanacheza vizuri kuliko Azzuri sasa sijui Squadra watapitaje hapo?
I think portugal and holland for final

Usiombee kukutana na GERMANY au ITALY kwenye mtoano ni vigumu kupona
Afadhali ukutanae nao kwenye makundi,Mpira ni TECHNICS sio kucheza vizuri tu,
Spain wanacheza vizuri but hawana BAHATI
 
Portugal walipewa dozi na GERMANY world cup nafikiri tatu bila
 
Timu zitakazo ingia semi final
HOLLAND
AZZURI
GERMANY
CROATIA

????!!!azzuriii????!!!!

kwa mpira gani walionyesha wa kuja mfunga spain???!!
au mmesahau mlivyopgwa na waholanzi???
 
Portugal walipewa dozi na GERMANY world cup nafikiri tatu bila

mpira wadunda bandugu tukienda kwa kufata records hizo tuseme ndo zitadetermine mambo,tutakuwa hatufiki!!!

ila hiyo ni mojawapo ya match ambayo itakua among the best katika robo fainali hizo ya germany na portugal...alafu spain na italy then ya holland
 
...Hollo inaonekana FRANCE si kwamba walikuwa wamelala, walikuwa kwenye COMATOSE!, mpaka Italy ilipokuja ku switch off 'life support' ndio ukweli umejulikana!

Inasikitisha lakini ndio unafuu kwa 'mgonjwa'!

hehehehe walipotea woote hawa hata wa azzuri naona nao wameanza kurudi hapa kwa kasi na kujipa moyo wa kufika mbali wakati nao wanaishi kwa kupumua kwa mpira ngoja uchomolewe!!!
 
...Hollo inaonekana FRANCE si kwamba walikuwa wamelala, walikuwa kwenye COMATOSE!, mpaka Italy ilipokuja ku switch off 'life support' ndio ukweli umejulikana!

Inasikitisha lakini ndio unafuu kwa 'mgonjwa'!
Ndo football hiyo!ila jana France baada ya kupata balaa la kuumia kwa Ribery,na kadi ya abdal basi ndo ukawa mwisho!any way ndo football bwana no way!
 
Hio sijui AZZURI haman kitu jamaa wazito kweli sijui wamefunga weight miguuni?....mpaka sasa hivi Uholanzi ndio wanaonekana kuwa watakuwa mabingwa kidoogo na Portugal
 
Ndio, Holland inaweza kuwa mabingwa lakini pia uiitupe Germany na Portugal na halikadhalika Spain.

Lakini mimi naona favourites ni Holland kwa kurudisha total football (mchezo wa counter attack kutoka golini kwako hadi kufunga).

Siri kubwa ni kwamba wachezaji wengi ni wadogo na wamekaa sana pamoja tangu world cup ya 2006 kwahio ile kitu togetherness inawasaidia sana.

Let's enjoy it!
 
Nakubaliana an wewe sana umeiongeza Spain hapo.....kwa kifupi ukiangalia timu hizi zinaonekana kulinyemelea kombe hili
1 Holland
2Portugal
3Spain
4Germany
 
mama naona unajisogeza kwetu,karibu karibu

Short and clear!!, safi mkuu ila ulipotea kweli kweli mkuu, leo umeibuka kwa reply ambayo ni short and clear!!

France wakumtoa kafara ni Kocha, MTAALAM umetoa comment nzuri,,!, we tangu lini lefties player kama Abidal akacheza beki wa kati? we ile naona line up nikajua leo Ze Blues wameingia CHOO CHA KIKE,.......... yaliyojiri kila mtu anajua, ni nadra sana kuona watumiaji wa guu la kushoto kucheza beki wa kati, embu cheki na boko za Silvestre, Heinze esp game na AC MILAN CL, Cygan etc, walikuwa wakicheza kati basi hapo lazima mtu acheze pumba!!

Still my money naweka kwa Portugal, na kwa sasa let me add Holland, Azzuri no where to go, hatua ya pili tu itawatosha.,
 
Domenech, nilianza kumuona anachemsha alipoamua kumtosa Trezeguet.....Donadoni mwenyewe pressure ya kumuacha Del Piero ilimzidi....

Hollo, pole na nadhani maneno yangu yamekuwa kweli kuwa France walikuwa weupe na mambo ya 2002 yatajirudia....I have never taken France kama tishio kwenye soka...ushindi wa 1998 na Euro 2000 ilikuwa bahati na well wachezaji wao wa kununua.

I'm with Holland...labda watapata bahati mwaka huu maana itakuwa miaka 20 baada ya kushinda Euro 88 na Van Basten ndio alikuwa top scorer wakati huo....
 
Short and clear!!, safi mkuu ila ulipotea kweli kweli mkuu, leo umeibuka kwa reply ambayo ni short and clear!!

France wakumtoa kafara ni Kocha, MTAALAM umetoa comment nzuri,,!, we tangu lini lefties player kama Abidal akacheza beki wa kati? we ile naona line up nikajua leo Ze Blues wameingia CHOO CHA KIKE,.......... yaliyojiri kila mtu anajua, ni nadra sana kuona watumiaji wa guu la kushoto kucheza beki wa kati, embu cheki na boko za Silvestre, Heinze esp game na AC MILAN CL, Cygan etc, walikuwa wakicheza kati basi hapo lazima mtu acheze pumba!!

Still my money naweka kwa Portugal, na kwa sasa let me add Holland, Azzuri no where to go, hatua ya pili tu itawatosha.,

GGFUBAR *******kiroboto and mandaz
 
haya tungojee leo tuone u chenge wa huyu kocha wa russia gus hiddink..maana tusishangae akaivusha russia na sweden wakabaki!!
 
Mtaalam jamani unaniumiza sana ukisema uchenge!pls jamani
kwani russia wakishinda si watakuwa wamewazidi utalaam wa mpira sweden?
 
Hio sijui AZZURI haman kitu jamaa wazito kweli sijui wamefunga weight miguuni?....mpaka sasa hivi Uholanzi ndio wanaonekana kuwa watakuwa mabingwa kidoogo na Portugal

...italy nao wanaonekana wasindikizaji tu katika mshindano mwaka huu, jana wamemfumaa 'shikamoo jazz' mwenzao wakamkung'uta hayo mawili, lakini sitarajii kama watafika mbali zaidi ya game ijayo...

nawapa nafasi kubwa vijana wa Holland, na Croatia, kisha Portugal na kidooogo Spain na Germany.
Kama kuweka 'dau' langu hapo nitasema...

Germany,

...only due to their experience!
 
Back
Top Bottom