loh kocha wa france kweli bwege sasa alifikiria nini kumchezesha left beki kama beki wa kati????ona sasa by dakika ya 25 walishachapwa kamooja tu,sub washatumia mbili na kadi nyekundu juu!!!though wanajiitahidi ila sidhani kama watakuwa able ku come back to this game!!!
naona na kule wa dutch na romania bado bila bila!!!
haya vipindi vya pili hivyoooo
wacha watolewe hao Fra, wamejiachia mno!