***Euro2008***

***Euro2008***

Mpaka sasa hii Euro sijaona timu nzuri kama The Nedherlands
 
wallahi tungeshinda ile mechi wiki nzima ingekua ya mapumziko hadi vikao vya bunge na nec vingeahirishwa kushangilia ushindi!

kabisa, maana kikwete angekuwa busy ikulu kuwaandalia vijana dinner.
 
mie pia nshaanza ona fainali ni spain/holland vs german/portugal (ambao wanameet next round)!!

yoyo spain pia wana timu nzuri, portugal hawana striker wazuri lakini viungo wao wanajua kudrive vyema mpira na kushambulia!
 
jamani leo nani kaingia next round?
 
Haya mtangange ndio huo umekwisha, Austria out, German na Croatia ndio hivyo tena wanasonga. German kukutana na Portugal au?
 
Geman kama ni wa pili atakutana na wareno!hatari kweli kweli
 
Croatia nao wamo, hawajapoteza match hata moja. Na watakutana na Turkey? I bet Croatia to qualify for Half finals.
 
dats why nikasemaga kuwa fainali itakua portugal au germany vs spain au holland...cz hamna timu zitaweza wazuia..next rnd tayari portugal watacheza na wajerumani,croatia na waturuki!!!
wenyeji wote kwisha kazi kwisha tolewa wanabaki shangilia tu
 
It has never been this complicated before, honestly! You are talking about uwezekano wa vigogo wawili kuangukia pua leo, this tie has all the ingredients to become the game of the tournament...

Romania will qualify for the quarter-finals if they beat the Netherlands, eliminating France and Italy.

If Romania fail to beat the Netherlands, the winner of France v Italy will go through.

If France and Italy draw, a point against the Netherlands would be enough to send Romania through. France must win to have any chance of qualifying.

If France and Italy share a score draw (1-1, 2-2, 3-3 etc), Italy will go through if Romania lose (by any score). In this scenario, Italy, Romania and France will be level on two points each but Italy would have scored more goals in games between the 3 teams.

Romania will finish bottom of the group if they lose and France and Italy draw 2-2, 3-3 or 4-4. France will finish bottom if they draw 1-1 unless Romania lose 3-0 or by a four-goal margin.

If France and Italy draw 0-0, Romania can lose by one goal, two goals or by a three-goal margin other than 3-0 but still qualify. In this scenario, Italy and Romania would have identical head-to-head records, but Romania would have better goal difference in ALL group matches or, in the case of the three-goal defeats, goals scored. France would finish bottom, having scored fewer goals head-to-head v Italy and Romania.

If Romania lose 3-0 to the Dutch, Italy would qualify with a 0-0 draw against France because of their superior coefficient points. France would finish bottom as they would have scored fewer goals head-to-head v Italy and Romania.

If Romania lose by four goals or more and the other game ends 0-0, Italy would proceed with a better overall goal difference than Romania. France would finish bottom as they would have scored fewer goals head-to-head v Italy and Romania.

If France and Italy draw AND Romania avoid defeat, then Romania go through. France and Italy will have identical records and a unprecedented penalty shoot-out will decide who finishes third and fourth.

extracted from bbc sports.
 
kana nimeona post yako hapo ila imekua ngumu kidooog kuielewa!sasa naomba uangalie swali langu post namba 195 halafu unijibu hilo swali kwa lugha nyepeeesi!!!as wengine jamani uzee huuu wagumu kuingiza mambo kichwani na wepesi kutoa yaani kuyasahau!
 
sasa wajimini nina kaswali ka mpira kidooogo nataka majibu ya wataalam wa mpira haswaa...

itakuaje pindi timu mbili ambazo zilitoa draw zilipokutana zikalingana points,magoli ya kufunga na kufungwa?!?kigezo gani kitatumika kumweka mmoja juu??!!

kwa mfano austria washinde kwa mabao mawili kwa moja,alafu poland nao washinde mbili bila kwa wacroatia!!

kigezo gani kitafuata?!!

Kwa uelewa wangu 'alphabet' ya jina la timu kitakuwa kigezo cha kuiweka juu, isipokuwa kama zinashindania kufuzuru basi zitacheza penati, ili apatikane mshindi. Kwa mfano mechi za jana endapo Austria na Ujerumani wangetoka draw zingepigwa penati.

Kwa kuhusu mechi za leo, ni mtihani kwa Italy na Ufaransa, uzoefu unaonyesha kuwa mechi zao nyingi huwa zinaisha kwa sare, lets wait 90 minutes will tell.
 
penalti??labda hukunipata vyema,ambao wangelingana points wangekua poland na austria ambapo angehitajika mmoja kuendelea as wangelingana magoli....
wangepigianaje penalts wakati kila mmoja alikua anacheza game ingine??!!miji minginee???!!!
mwee na alphabet kumbe zaweza help timu ehh??
 
haya mambo yameanza naona italy na france wanatoana jasho ili wapite...i hope van basten kocha wa holland ni member wa JF angalau atasikia maombi yangu aachie romania washinde ili hii mizee yote ikapumzike!!
 
haya Italy wanajipatia goli lililotiwa kimiani na Pirlo dakika ya 25 ya mchezo,
 
loh kocha wa france kweli bwege sasa alifikiria nini kumchezesha left beki kama beki wa kati????ona sasa by dakika ya 25 walishachapwa kamooja tu,sub washatumia mbili na kadi nyekundu juu!!!though wanajiitahidi ila sidhani kama watakuwa able ku come back to this game!!!
naona na kule wa dutch na romania bado bila bila!!!

haya vipindi vya pili hivyoooo
 
It has never been this complicated before, honestly! You are talking about uwezekano wa vigogo wawili kuangukia pua leo, this tie has all the ingredients to become the game of the tournament...

Romania will qualify for the quarter-finals if they beat the Netherlands, eliminating France and Italy.

If Romania fail to beat the Netherlands, the winner of France v Italy will go through.

If France and Italy draw, a point against the Netherlands would be enough to send Romania through. France must win to have any chance of qualifying.

If France and Italy share a score draw (1-1, 2-2, 3-3 etc), Italy will go through if Romania lose (by any score). In this scenario, Italy, Romania and France will be level on two points each but Italy would have scored more goals in games between the 3 teams.

Romania will finish bottom of the group if they lose and France and Italy draw 2-2, 3-3 or 4-4. France will finish bottom if they draw 1-1 unless Romania lose 3-0 or by a four-goal margin.

If France and Italy draw 0-0, Romania can lose by one goal, two goals or by a three-goal margin other than 3-0 but still qualify. In this scenario, Italy and Romania would have identical head-to-head records, but Romania would have better goal difference in ALL group matches or, in the case of the three-goal defeats, goals scored. France would finish bottom, having scored fewer goals head-to-head v Italy and Romania.

If Romania lose 3-0 to the Dutch, Italy would qualify with a 0-0 draw against France because of their superior coefficient points. France would finish bottom as they would have scored fewer goals head-to-head v Italy and Romania.

If Romania lose by four goals or more and the other game ends 0-0, Italy would proceed with a better overall goal difference than Romania. France would finish bottom as they would have scored fewer goals head-to-head v Italy and Romania.
If France and Italy draw AND Romania avoid defeat, then Romania go through. France and Italy will have identical records and a unprecedented penalty shoot-out will decide who finishes third and fourth.

extracted from bbc sports.

hapo kwenye maneno niliyoyawekea rangi nyekundu ndio mwangu kabsaa yan kwenye my qn na nadhani maelezo yao yako wrong....

wakitoka bila bila halafu romania akafungwa kwa mfano tatu bila...
msimamo utakua hiviii
romania pt 2...gf 1...ga.....4
italy pt 2..gf 1....ga.....4
france pt 2..gf 1....ga.....4

tukumbuke italy vs romania walitoka 1-1,vs holland alifungwa 3 bila!!
pia france vs romania walitoka 0 - 0,vs holland akachapwa 4 moja!!
wao romania game ya kwanza na france bila bila,ya pili moja moja!

sasa je....nani atawekwa juu na ku qualify??!!!kwa vigezo vipi??
nb i know by nw yote haya sio possible as italy washa score but i wud like to know the rules kidooogo!!
 
Back
Top Bottom