***Euro2008***

***Euro2008***

dah naona Andreas Isaksson & co (defense ya sweden) leo wamekubali wakafungwa goli la kwanza as it was de only team who hawajafungwa hata ka goli kamoja!!!so nw hamna timu yenye defense bikira bado!!!

so far holland are the only team who has shown gud mpira kidoooogo na portugal na spain ambao wametoa hofu kuwa wakimit team kubwa wanabugi step na kupagawa!

david villa is de leading top scorer wit 4goals akifuatiwa na podolski with 3 goals!!
 
mie wallahi ningekua kocha wa holland (van basten ) kwa jinsi navyochukia waitaliano kwa mpira wao wa kizee na ku avoid matatizo bidae ya kukutana na france au italy as hawatakua de same team....mechi ya romania ningepanga kikosi kichekesho like kupanga kina van nistelrooy,kuyt,van persie wao ndo washikilie mikoba yaani wawe mabeki,kipa awe mtu kama robben alafu mbele kule ndo kina van der sar...sio mbaya hata hao makipa wengine nao wakacheza mbele siku hiyo ili mradi tuu romania wa win n ku qualify na holand to the next round.....
 
Umenichekesha sana
 
Du makubwa!sasa si itatuharibia wengine?thank GOD haitakuwa hivyo!Romania watagalagazwa tu!na France watawafunga Azzuri!
 
naona wa russia wamewavua chupi ooops i meant ubingwa watu wazima greece..aibuuu mibingwa mitetezi haijafunga hat akagoli kamoooja tu na wameshatolewa mechi ya mwisho ni kukamilisha ratiba tuuu!!

this has hakikishiad spain nafasi ya kuendelea to the next round yaan wameshapita hata kama game ya mwisho wakifungwa kumi
 
Du makubwa!sasa si itatuharibia wengine?thank GOD haitakuwa hivyo!Romania watagalagazwa tu!na France watawafunga Azzuri!

amaaa nilijua na kina nyie mngekua mshajifungia ndani kwa aibu ya kutundikwa goli nne!!!!jifungieni ndani kama wenzenu washabiki wa italy wamekua wadogooooooo....wametulia tuli kama wananyolewa yaani!!

loh poleni sana vibabu vyetu dis time hamna kitu kabsaaa nyanya!!bila shaka hata mkicheza friendly game na tz mtatoa draw au kuchapwa nw!
 
bila shaka hata mkicheza friendly game na tz mtatoa draw au kuchapwa nw!
Hahahahaha!acha kabisa kumbuka kukwalifai tu kucheza haya mashindano haikuwa kazi rahisi!leo unatulinganishe tucheze na Taifa stars?jamani acha kuwadharau les bleus kiasi hicho!Bado kuna matumaini ndugu yangu!
 
wajimini mmekimbilia wapiii??au ndo tuko focused na siasa???naona hata kina "mama" hawaonekani kabsaaa humu tena,hollo uko busy kwenye mission yako ya tetea chenge,kina kana ndo kabsaaa sijui wanataka mpaka arsenal iwemo kwenye euro?!yoyo na wenzio na wengineo wa azzuri ndo kabsaa!!!!
 
naoan leo vikongwe vingine vya soka vyakaribiwa vuliwa nguo hapa uwanjani na wenyeji austria ambao mwanzoni walionekana kama kichwa cha mwendawazimu lakini nw nao wana uwezo mkubwa wa kuendelea mbele wakiwafunga...its half time bado bila bila!!!

ma kocha wooote are sent off to go n finish de game to the stands!!!
 
wajimini mmekimbilia wapiii??au ndo tuko focused na siasa???naona hata kina "mama" hawaonekani kabsaaa humu tena,hollo uko busy kwenye mission yako ya tetea chenge,kina kana ndo kabsaaa sijui wanataka mpaka arsenal iwemo kwenye euro?!yoyo na wenzio na wengineo wa azzuri ndo kabsaa!!!!

nipo babaaa, sema Mtaalam

naona Austria wamegangamala kweli kweli, ingawa ndio hivyo tena wameshatolewa.
 
aah mama ujue nao bado wamo wana nafasi ya kupita wakishinda hii tena nafasi yao kubwa kuliko poland as gd yao ni nzuri zaidi!
 
Nilijisahau kwenye siasa alafu TV kumbe nilifungua channel ya soka.....ishafika half time?.....leo jerumani hawa nataka waondoke
 
aah mama ujue nao bado wamo wana nafasi ya kupita wakishinda hii tena nafasi yao kubwa kuliko poland as gd yao ni nzuri zaidi!

Austria wakishinda wanapita ndio maana wamekaba haswa.......haaaa goal barack
 
sasa wajimini nina kaswali ka mpira kidooogo nataka majibu ya wataalam wa mpira haswaa...

itakuaje pindi timu mbili ambazo zilitoa draw zilipokutana zikalingana points,magoli ya kufunga na kufungwa?!?kigezo gani kitatumika kumweka mmoja juu??!!

kwa mfano austria washinde kwa mabao mawili kwa moja,alafu poland nao washinde mbili bila kwa wacroatia!!

kigezo gani kitafuata?!!
 
aah mama ujue nao bado wamo wana nafasi ya kupita wakishinda hii tena nafasi yao kubwa kuliko poland as gd yao ni nzuri zaidi!

Yaani Austria ikishinda leo sijui kama watalala, yaani ni kama vile Taifa Stars ingeifunga Cameroun. Kila la heri kwa co-host
 
naona ka balack kamewanyanyua wajerumani hawa wenye roho saba sijui!!

dah angalau naona watu mmeamua kurudi kwenye spostssssiiiiiii!!!sio siasa tu wajimini loh!siasa zenyewe kila kona ufisadi bora hata hapa twarefresh mind peacefully!
 
sasa wajimini nina kaswali ka mpira kidooogo nataka majibu ya wataalam wa mpira haswaa...

itakuaje pindi timu mbili ambazo zilitoa draw zilipokutana zikalingana points,magoli ya kufunga na kufungwa?!?kigezo gani kitatumika kumweka mmoja juu??!!

kwa mfano austria washinde kwa mabao mawili kwa moja,alafu poland nao washinde mbili bila kwa wacroatia!!

kigezo gani kitafuata?!!
Eeh hapo sijui watarusha shilingi?
 
Yaani Austria ikishinda leo sijui kama watalala, yaani ni kama vile Taifa Stars ingeifunga Cameroun. Kila la heri kwa co-host

wallahi tungeshinda ile mechi wiki nzima ingekua ya mapumziko hadi vikao vya bunge na nec vingeahirishwa kushangilia ushindi!
 
Eeh hapo sijui watarusha shilingi?

hehehe maana niliamua niichangamshe akili yangu wee mwishowe nikaona nimeshindwaaa!!ndio maana nikawabwagia wana JF lets hope wapenzi wengine wa mpira wakitoka kwenye kubeba maboksi na wa bongo wakiingia hapa wataweza tujibu!
 
Back
Top Bottom