Nakwambia kesho AZURI ni kumuumiza TORES/VILLA mapema au tunafanya zengwe PUYOL anapewa RED CARD mapema mambo yanakuwa rahisi
Au tunawabania hadi penati then BUFFON anawaua
kwi kwi kwi kumbe kunashetani wa football!! hizi timu zilizoshinda mechi zote kwenye makundi zinaweza kutolewa zote kwasababu ya kujiamini kupita kiasi. Ukiangalia mechi hii Uholanzi wameshidwa kucheza total football yao, wanabahatisha tu leo. Ningekuwa kocha ningemwingiza Roben na Van parsie halafu nawaambia wacheze kwa kupanua uwanya (kutumia wingers).
van basten anahaha tu......hii sub kafanya ya nini? anaiga mchezo wa russia naona....Russia wanacheza kati katika watu wa4 wako kama 1(moja) an mawinga wa2 tu....nyuma mabeki wa4