***Euro2008***

***Euro2008***

Nakwambia kesho AZURI ni kumuumiza TORES/VILLA mapema au tunafanya zengwe PUYOL anapewa RED CARD mapema mambo yanakuwa rahisi
Au tunawabania hadi penati then BUFFON anawaua
 
heheheh wa azzuri nashangaaa hata walija rudi jf..walishapotea kabsaaaaaa
 
haya Holland na warusi ndio haooooo......namuona kigagura mweupe Hiddick
 
Ile holland viungo kati wakiwepo Cocu,davids ilikuwa balaa naona akina van de vaart hawapeleki gozi mbele sijui wameshanyweshwa Vodka?......

Nyavu zoote bado bikira.....
 
hehehe van de sar leo mikono mpaka itawaka moto.....haya mashuti ya warusi kama B52
 
leo kazi ipo hapa basi tu timu nzuri naomba isitolewe jamani!ila kipa wa holland anawasave kweli!
 
Sali sana....naona kama vile Shetani yuko upande wa Holland leo

kwi kwi kwi kumbe kunashetani wa football!! hizi timu zilizoshinda mechi zote kwenye makundi zinaweza kutolewa zote kwasababu ya kujiamini kupita kiasi. Ukiangalia mechi hii Uholanzi wameshidwa kucheza total football yao, wanabahatisha tu leo. Ningekuwa kocha ningemwingiza Roben na Van parsie halafu nawaambia wacheze kwa kupanua uwanya (kutumia wingers).
 
Hizi kosa kosa za Holland sijui......kaingia van persie na roben anahitajika
 
Huyu heitinga sio chocho kweli? asije kuwa kama Ferreira
 
haya jamani mimi sio mganga.....mmeona krosi imepitia kwa nani??......Holland wamesha kandamizwa kimoja
 
Russia One Holland Nil, second half. The Russians are very good.
 
van basten anahaha tu......hii sub kafanya ya nini? anaiga mchezo wa russia naona....Russia wanacheza kati katika watu wa4 wako kama 1(moja) an mawinga wa2 tu....nyuma mabeki wa4
 
Jamani mko wapi mtu mzima anadhiirika huku......
Mtalaam,holo......kiwango wanachocheza holland bora ya marcio 11
 
Holland wamekoswa mara mbili ndani ya dakika moja! Ngoja tuone hii free kick ya Holland
 
Van Persie kapiga zile za akina Onyango wa Gor Mahia, juuuuuuuuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom