Nakwambi acha tu yaani kama timu unayotaka ishinde inafungwa unaweza ugua ugonjwa wa moyo!Yaani waholanzi wanavyoshambuliwa hadi nimezima Tv sasa hivi nasikiliza kwenye radia atleast sioni wanavyoshambuliwaJamani mko wapi mtu mzima anadhiirika huku......
Mtalaam,holo......kiwango wanachocheza holland bora ya marcio 11
Timu zilizoongoza ndo zinatoka!kesho zamu ya spain!kumbe kuwa wa kwanza si hoja naona hizi timu zilikuwa za kwanza kwa vilaza wenzao!Yaani holland inayocheza leo si ile iliyocheza na FRANCE na ITALIAHee siamini...bado dakika 10 holland ndio wanaaga hivyo? sneijder atachomoka miguu...
Nakwambi acha tu yaani kama timu unayotaka ishinde inafungwa unaweza ugua ugonjwa wa moyo!Yaani waholanzi wanavyoshambuliwa hadi nimezima Tv sasa hivi nasikiliza kwenye radia atleast sioni wanavyoshambuliwa
umenichekesha sana.....naona kama Shetani kahamia RussiaHuyu Roman Pavlyuchenko mbona wanamwachia sana?leo ni leo matuta tutafika sijui itakuwaje?unaweza ukaugua ugonjwa wa moyo kabisa!