***Euro2008***

***Euro2008***

Jamani mko wapi mtu mzima anadhiirika huku......
Mtalaam,holo......kiwango wanachocheza holland bora ya marcio 11
Nakwambi acha tu yaani kama timu unayotaka ishinde inafungwa unaweza ugua ugonjwa wa moyo!Yaani waholanzi wanavyoshambuliwa hadi nimezima Tv sasa hivi nasikiliza kwenye radia atleast sioni wanavyoshambuliwa
 
Hee siamini...bado dakika 10 holland ndio wanaaga hivyo? sneijder atachomoka miguu...
 
Jamani wengi tunataka waholanzi wapite lakini Russia wanapiga soka saafi sana......nilisema Heitinga uchochoro sana....bado 1 kwa Russia 0 kwa holland....dakika ta 84
 
Hee siamini...bado dakika 10 holland ndio wanaaga hivyo? sneijder atachomoka miguu...
Timu zilizoongoza ndo zinatoka!kesho zamu ya spain!kumbe kuwa wa kwanza si hoja naona hizi timu zilikuwa za kwanza kwa vilaza wenzao!Yaani holland inayocheza leo si ile iliyocheza na FRANCE na ITALIA
 
tehetetehe refa alijisahau alijua kolodan hajampa kadi ya njano......90 full
 
tehetetehe refa alijisahau alijua kolodan hajampa kadi ya njano......90 full
Kachemsha kweli maana ingeresult kwenye red si mchezo!hayuko makini na kazi yake nini?Au mpira umechemka sana
 
Holland wamegaanyika sasa kati katika hakuna mtu......where is Robben?
 
Nakwambi acha tu yaani kama timu unayotaka ishinde inafungwa unaweza ugua ugonjwa wa moyo!Yaani waholanzi wanavyoshambuliwa hadi nimezima Tv sasa hivi nasikiliza kwenye radia atleast sioni wanavyoshambuliwa

...Hollo wala usihofu, ingawa waholanzi leo cha moto wamekiona, lakini watapita tu hata kama itabidi kwa matuta. Kesho Spain nje bila wasiwasi... utabiri wangu unabaki vile vile,

Germany Vs Italy final

...games hizi za Qtr final zimepwaya kwasababu kila timu inacheza kwa umakini ikijua one mistake, they are out... tofauti na 1st round timu zilikuwa na 3*games.

my pendulum is swinging 'perfectly' mpaka sasa...
 
Huyu Roman Pavlyuchenko mbona wanamwachia sana?leo ni leo matuta tutafika sijui itakuwaje?unaweza ukaugua ugonjwa wa moyo kabisa!
 
Huyu Roman Pavlyuchenko mbona wanamwachia sana?leo ni leo matuta tutafika sijui itakuwaje?unaweza ukaugua ugonjwa wa moyo kabisa!
umenichekesha sana.....naona kama Shetani kahamia Russia
 
...Holland are playing for penalties... hala hala isije wa cost.

Hiddink nilimwona kama alipata ahueni Holland kusawazisha.

'damu nzito kuliko maji!'
 
Du jamani football si mchezo holland bye bye
 
...Holland are playing for penalties... hala hala isije wa cost.

Hiddink nilimwona kama alipata ahueni Holland kusawazisha.

'damu nzito kuliko maji!'
Hiddink anawatoa wadutch wenzake!ila lazima roho inamuuma
 
yaani siamini, duh. German for Euro 2008 Champion.
 
But tukubali kwa kweli Warusi wamecheza soka la kufundishwa. Wanastahili kuwa nusu fainali. Dutch is out! Goli la tatu hiloooooooooooooo!
 
Fimbo waliyoitumia kuwapiga France na ITALIA leo imewarudia wadutch maskini!
 
Back
Top Bottom