***Euro2008***

jamani nilisema Huyu Basten hamnazo nae kama Marcio tu kwanini alimuingiza Heitinga? huyu beki ni moja ya mabeki mdebwedo sana magoli yoote yametokea akiwa yeye
 
But tukubali kwa kweli Warusi wamecheza soka la kufundishwa. Wanastahili kuwa nusu fainali. Dutch is out! Goli la tatu hiloooooooooooooo!
Jamaa hawa kumbe hawakubahatisha waliwafunga england kwenye makundi kihalali kabisa!
Bravo Hiddink
 
Uholanzi nje, kesho Spain nje, mambo ya soka haya. timu zote zilizoshinda mechi zote kwenye makundi zinaondoka. Mambo ya kujiamini haya.
 

...mnh, mwaka wa kufa nyani!!!

acha tu nimsubirie Hiddink kuwapa pole wa dutch wenziwe....

 
Tena wamejifunga!!! POLE HOLLO
Asante nilitaka kuugua ugonjwa wa moyo leo aisee.Timu nilizokuwa nazipa maksi kuzipenda zote zinatoka!kesho kina Cesc,Villa sijui itakuwaje
 
poleni wapenzi wote wa Uholanzi, hii ndiyo football, mimi sasa sina timu ya kuishangilia tena. Ila sipendi Italy au ujerumani, my hope ni kwa Uturuki na Spain.
 
118' Sneijder with a free kick but he sends it into Akinfeev's arms.

116' A throw-in to Russia on the right, taken quickly and the Dutch defence have stepped up, you can't be offside from a throw, Arshavin is in AND HE DRILLS IT UNDER VAN DER SAR FOR 3-1!

115' Sychev in space on the right and he hammers a rising drive that flashes just over! Van der Sar had it covered.

114' RUSSIA SUB: Sychev on for Pavyluchenko.

112' Russia come forward on the break, Arshavin on the left, superb run and a deep cross but too deep for Torbinsky at the far post BUT HE SOMEHOW TURNS IT IN WITH THE OUTSIDE OF HIS LEFT BOOT FROM AN IMPOSSIBLE ANGLE AND RUSSIA LEAD! They have deserved that. Brilliant play, and a great moment for the little man who won't play in the semi but could have got his side there.


Poleni Uholanzi.
 
Italy mwaka huu siyo wazuri sana so Spain wanatakiwa wakaze buti maana huu unaweza kuwa mwaka wao. Kwa sasa nadhani Warusi wana nafasi kubwa maana hata wakicheza na Itallya au Spain kwa mpira wa leo watashinda tu!
 
Mimi nadhani karata yangu sasa ni kwa hawa warusi. wanacheza kitimu zaidi ila hofu yangu hizi kadi za njano za leo zitawaathiri kwenye nusu fainali na hata wakipita wanaweza kukosa wachezaji wengi siku ya fainali.
 
Italy mwaka huu siyo wazuri sana so Spain wanatakiwa wakaze buti maana huu unaweza kuwa mwaka wao. Kwa sasa nadhani Warusi wana nafasi kubwa maana hata wakicheza na Itallya au Spain kwa mpira wa leo watashinda tu!
Hapa Italy wanaweza wakachukua kombe historia ya france kuchukua kombe la dunia 1998 na kufuatiwa na la ulaya 2000 itaweza wakuta Italy pia.Any way tusubiri!
 
Guus kawatolea uvivu Holland.
...wale ma-two VANs leo kule mbele hawa kuonesha chochote... wot a shame!

van perse na guu lake la kushoto ndiyo kabisaaa... i'm really gutted.
 
Pole sana!Yaani wewe acha tu!That is Football ukizingatia na Taifa star imefungwa leo maumivu maradufu

my dear hollo, wameniudhi sana holland... yaani wachovuuuu... wamechoka quarter finals... extra time hawaiwezi, nashangaa kule kuzibamiza team mwanzoni magoli manne, matatu, na bila sijui kulikuwa na manufaa gani, nadhani walijisahau...

TS, watapokelewa nyumbani na vilio vya majengo kubomoka.... is this gon'be last straw for maksimo?!...who knows..
 
...wale ma-two VANs leo kule mbele hawa kuonesha chochote... wot a shame!

van perse na guu lake la kushoto ndiyo kabisaaa... i'm really gutted.

Russia walijipanga na wana mbio mno. Langoni kwao kulikuwa na watu kama saba hivi wakielekezewa shambulizi, and wakiokoa basi wanahakikisha mpira unafika goli lingine, watoto wanakimbia wale si mchezo, stamina iko juu. Leo hakuna cha Scheider wala Van nini, kipa wao amejitahidi sana vinginevyo wangeondoka na magoli 6.
 
Russia deserved to win....as for Oranje nimekuwa disappointed but ndio mpira.....!!!as for now sina timu ninayosupport!!!
 
Yaani wewe acha tu!Hii holand iliyocheza leo si ile iliyowabamiza waitaliano na wafaransa.Naona walilewa sifa labda wakajisahau.

TS,yaani vilio mara mbili na majengo kubomoka naona hakuna mtu atakaeenda airport kuwapokea, labda kwa kuwa wamefunga kamoja si unajua tena kuifunga Cameroon walau kamoja wao wataona bahati kubwa kweli na kujisahau kuwa wamefungwa!Maksimo alishasaini mkataba mwingine so ataendelea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…