***Euro2008***

***Euro2008***

....tv nimezima na radio nimezima!!! pls don't tell me anything right now... vav*n..llo!!!
 
Fabregas katia kitu....Its over!!!!
The best team has won the game!!!!
 
Afadhali AZZURRI wametolewa!Steve unanivunja mbavu!
 
aaaaahhh!, Cesc Fabulous!...

bad luck Italy, kwa mara nyingine tena...matuta yamewakataa...
 
Hapa napo nitalog off mkianza kuniambia maneno haya... cac..o

😀....

SteveD, i understand ur suffering, pole mkuu... hata mimi dau niliweka kwa Italy, ila kwenye matuta hawana bahati nayo hawa!
 
....tv nimezima na radio nimezima!!! pls don't tell me anything right now... vav*n..llo!!!
Sina mbavu ila kweli unaweza ukapata heart attack!mpira bwana ila mimi bora leo maana nilitaka spain wapite!
 
Game ilikuwa poor...Italy waanze nao kutafuta vipaji vijeba vikae pembeni....Spain kama kwa mchezo huu basi Russia wanatinga final
 
utabiri wangu wa Germany Vs Italy final umeishia hapa... haya, natandua jamvi langu mpaka Jumatano!

atayeshinda Euro 2008 safari hii, 'simtabirii tena!'
 
utabiri wangu wa Germany Vs Italy final umeishia hapa... haya, natandua jamvi langu mpaka Jumatano!

atayeshinda Euro 2008 safari hii, 'simtabirii tena!'

Mimi naona itakuwa ni Russia Vs Germany na Russia wakikanyaga boli kama walivyokanyaga jana basi Germany hawataona ndani, lakini tusisahau mpira ni dakika tisini...Ooops! dakika 120...🙂 maana ni wachache sana waliodhani kwamba Germany wangewafunga Wareno.
 
Back
Top Bottom