***Euro2008***

Kwa shocks ambazo zimenikumba so far kwenye hii Euro, naona ni bora nijiandae kuangalia fainali ya Russia V Turkey, nisijepata ugonjwa wa moyo bureee!
 
Kwa shocks ambazo zimenikumba so far kwenye hii Euro, naona ni bora nijiandae kuangalia fainali ya Russia V Turkey, nisijepata ugonjwa wa moyo bureee!

Naam hiyo ilikuwa ni shock kwa wengi wetu, lakini Russia wamenishangaza sana labda huu utakuwa ni mwaka wao na 2010 watakuwa ni tishio kubwa kwenye World Cup.
 
Haya sasa bado kuwandoa SPAIN tukamilishe kazi tuanze kugombea ubingwa
FORZA AZZURRI
 
Haya Spain na Italy.....kama wanaogopana nataka leo dakik 90 tufanye shughuli zetu
 
Haya Spain na Italy.....kama wanaogopana nataka leo dakik 90 tufanye shughuli zetu
Leo naona wanaogopana utafikiri sio robo fainali Bwana!uzuri lazima mshindi apatikane.
 
Bloody boring game, am glad I have got a drink here! wanaonekana kama wanacheza ili wafike kwenye matuta tu.
 
Bloody boring game, am glad I have got a drink here! wanaonekana kama wanacheza ili wafike kwenye matuta tu.
Na kwenye matuta Azzurri watashinda Buffon atawaokoa na wachezaji wapigaji wanao wazuri
 
Kuangalia game kama hizi na umekaa kwenye kochi kunaongeza kitambi tu.....Spain wamalize kazi dak 90 otherwise........
 
Hiki kibabu aragones sijui vipi anamtoa Xavi? na kuna sababu gani ya kufanya sub 2 sasa hivi dakik ya 59?......hii itawa cost Spain.....gooool nooooooo dah casilas kawaokoa spain
 
Naona huyu babu aragones anazidi kuchukua risque yaani anamtoa tena na Torres si mchezo yangu macho
 
mhh huyu mdada anaewaongoza wachezaji wa spain kwenda kwenye benchi mhhh utata anayatupa si mchezo
 
Ngrrrrrr! i hate extra time......inatupotezea muda wetu tu.....timu zenyewe viwango hakuna..ona kama Villa kakosa bao hili la wazi ndio maana Ronaldo de lima anaonekanaga kuwa bora miaka yoote hapo tungekuwa tunagongesha glasi kwa cheers
 
Third game of 4 of the quarter final going to extra time! Hii ni ushahidi kwamba tofauti ya viwango vya utendaji ni ndogo kati ya wakali waliofikia stage hii na unahitaji bahati kusonga mbele.
 
mhh penalty....makipa wote wazuri ila Bafon zaidi.....game iliboa sana
 
leo ni leo!sijui italia au hispania!majirani hawa!
 
Namba 10 italy ina mkosi kumbukeni bagiio mwaka 94
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…