***Euro2008***

Peiruiligi Collina
 

Waspanish wamekamilika kila idara.....
 
Spain ndiyo mabingwa mwaka huu, hukuna na uchawi wa Bundes
 





Spain fan



Xavi opening goal




Andres Iniesta and Ivan Saenko
 
Wajerumani watashinda fainali, they can play ugly and win. Uchezaji wa Spain hautofautiani sana na ule wa Portugal.I have always admired the Germany's winning mentality.All in all its gonna be a cracking game, I cant wait!
 
Spain will win this tournament hands down the only team not beaten so far.
 
I support you Kana, Germanys are going to win the Game,Uzoefu na Ukongwe utawasaidia wajerumani..utu uzima dawa.Natumai itakuwa game nzuri j2
 
kesho ni kesho wajerumani wameahidiwa 250,000 Euros kwa kila mchezaji wakichukua kombe!wasipolichukua watapewa 150,000 Euros kwa kila mchezaji!
Kesho ni kesho maskini Spain nawaonea huruma!
 
Experienced Germans Vs Skilled Spanish!

...nataka kuamini kisichoaminika, lakini akili haitaki kuamini...
kinachobakia ni; I WISH... Spanish washinde 'just b'coz' of Cesc 'Fabulous' Fabregas... future captain wa 'the Gunners'.

Go Fabregas, show them who's the man!!!
.
 
The two giants of European football meet in Vienna in a battle to become kings of the continent.







FINAL COUNTDOWN ... Fernando Torres is ready to fire Spain to glory in Vienna​




PARTY TIME ... Spanish fans are ready for their showdown in Vienna​



The man to watch ......​
 
Mchezo umeshaangaliwa kwenye ungo....🙂 Spain 3 Germany 1, lakini kwnye kandanda chochote kinaweza kutokea kwenye dakika 90, 120 au maguu kumi na mbili ya mtu mzima mwenye akili timamu.

Germany kwa kiwango walichocheza kwenye mashindano haya hawakustahili kuwa kwenye Euro Final, lakini mpira ni magoli. Hivyo wanaweza pia kuibuka kidedea...🙁
 
Two Teams One Cup, One Final, One Night
Spanish flair vs German efficiency
 
waspaniola wanasema PODEMOS!"we can" Sasa sijui watawaweza wajerumani wenye maguvu!tusubiri kama kweli wataweza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…