Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama bingwa huwa hafungwi sasa hao wajerumani hawatakuwa mabingwa wa hii euro 2008!
Mechi imemalizika Croatia 2 - 1 Ujerumani, hapa Australia ajiandae maana Ujerumani watamtoa roho.
ni Austria, with no kangaroos.
Si Nziku peke yake watu wengi wanachanganya hizi nchi mbili.
Mimi huwa bado napenda kuiita Austria-Hungary ili nikumbuke.
Leo fainali nyingine kwenye groupe C!si mchezo sijui les bleus watafanikiwa kuwastopisha wadutch kidogo!
ALLEZ LES BLEUS!
Hata wenyewe wa Austria nadhani wanalijua hilo na walianzisha slogan ya No kangaroos in Austria.