Europa final: Liverpool vs Sevilla

Kama na muona baba yangu na liverfool yake lazima nimtanie hao watoto wa udsm hizo lecturers za kesho kazi wanayo
 
We nae bhana, yaani Refa atoe penati tatu unafikiri mpira WA makaratasi ule?
kwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?
 
Haya, tufanye Liverpool kaonewa.
 
Reactions: PNC
kwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?
Kiuhalisia Sevilla ndio wamewaonea liverfool huruma kwani first half hata Liver angeshinda 4 *0 bado liver angepigwa 8 ila zishukuriwe huruma za Sevila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…