Europa final: Liverpool vs Sevilla

Europa final: Liverpool vs Sevilla

We nae bhana, yaani Refa atoe penati tatu unafikiri mpira WA makaratasi ule?
kwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?
 
Haya, tufanye Liverpool kaonewa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?
Kiuhalisia Sevilla ndio wamewaonea liverfool huruma kwani first half hata Liver angeshinda 4 *0 bado liver angepigwa 8 ila zishukuriwe huruma za Sevila
 
Back
Top Bottom