Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
palikua na penat 3 za wazi,refa kajfanya haoni
kwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?We nae bhana, yaani Refa atoe penati tatu unafikiri mpira WA makaratasi ule?
kwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?
Kiuhalisia Sevilla ndio wamewaonea liverfool huruma kwani first half hata Liver angeshinda 4 *0 bado liver angepigwa 8 ila zishukuriwe huruma za Sevilakwa hyo hata kama madhambi yanafanyika sheria zisifuatwe kwa sababu sio mpira wa makaratasi sio?!..yaan mtu anashika mpira kwa makusudi aachiwe tu,ndio mpira sio!!?
DaaahKiuhalisia Sevilla ndio wamewaonea liverfool huruma kwani first half hata Liver angeshinda 4 *0 bado liver angepigwa 8 ila zishukuriwe huruma za Sevila
Sawaaa ntakuja kule uwapa hihuo ni ukwel mchungu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]hatukutaki jukwaa la Barcelona labda Makapuku Forum
Mbona umepanic hivihatukutaki jukwaa la Barcelona labda Makapuku Forum
HahahaaMbona umepanic hivi
Dawa yake dr panju ya panjuaniiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Komando Haji Manara mtaalamu wa fact anahusika vip hapa
Hahah hakikaHahahaa
Ka panic kama haji nanara
Facts zipi wakati daily anazungumzia timu nyingine badala ya simba[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Komando Haji Manara mtaalamu wa fact anahusika vip hapa
Lazima nijeYap huwa hatuwatak mashetani wekundu ukiwamo wewe[emoji4]